The premier destination for premium products

Malipo

Ninaweza kulipia kwa njia zipi ndani ya Bei Chee?

Bei Chee ina njia kuu mbili za malipo:

A. Kulipa baada ya kupokea bidhaa

Hii inamaanisha kuwa unalipa baada ya kupokea bidhaa zako. Unaweza lipia kwa kutumia simu baada ya kukagua bidhaa zako.

Hii ipo kwa wateja wote waishio Dar es salaam na utaletewa bidhaa hadi mlangoni mwako.

B. Malipo kupitia mtandao

Hii inamaanisha kwamba unalipa malipo kabla ya kupokea bidhaa

Hii ndio njia rahisi na pendekezwa kwako katika kufanya malipo kwani inatupunguzia gharama za kukuletea bdhaa zako na hii itatuwezesha kukupa punguzo la 5%

Utapaswa kufanya malipo ndani ya saa 12, vinginevyo oda yako itafutwa na mfumo wetu moja kwa moja.

Nalipaje oda yangu?

A. Lipa baada ya kupokea bidhaa

Unapaswa kuangalia kiasi cha fedha kwenye stakabadhi yako na kulipa kiwango stahiki na si vinginevyo.

Unaweza kulipa kwa kutumia simu au kupitia benki moja kwa moja na utapata kumbukumbu namba ya malipo.

B. Malipo kupitia Mtandao

Bonyeza ‘PesaPal’ au ‘Bank Transfer’ na endelea kulipa kwa kufuata maelekezo yanayofuata kwenye ukurasa wa mbele. Maelezo yametolewa kwenye tovuti.

 

Tunapokea Mpesa, Tigo Pesa, Visa na MasterCard. Pia tunapokea malipo ya moja kwa moja kupitia Benki na malipo taslimu ukichukulia bidhaa ofisini kwetu.

Chee Bei imesajiliwa na Cybertrust kama tovuti halisi. Hii inakuhakikishia kuwa taarifa zako binafsi zinazochukuliwa ziko salama wakati zinapokewa kati wavuti yetu na wewe.

Usalama wa Tovuti

Ili kusaidia kuhakikisha kwamba uzoefu wako wa ununuzi ni salama, rahisi na salama Bei Chee hutumia teknolojia ya SSL.  Tecknolojia hii inasaidia kulinda taarifa unazotutuma kwetu juu ya mtandao. Ikiwa SSL imewezeshwa basi utaona kizuizi na unaweza kukibofya ili upate maelezo kuhusu usajili wa cheti cha SSL. Utaona pia kwamba unapotazama (URL) utaona ikianza na ‘http:’ badala ya ‘http:’ . Hii inamaanisha kuwa uko katika hali salama.

All search results