The premier destination for premium products

Jinsi ya Kununua

Baada ya kujua unachotaka kununua, fuata njia 5 rahisi kama ifatavyo…

1

 

Bonyeza kitufe chekundu cha ”NUNUA” kwenye bidhaa uliyochagua na endelea kukamilisha malipo.

2

 

Tafadhari jaza taarifa zako zote mhimu kama jina, namba ya simu, barua pepe n.k. Tusaidie kwa kuongeza taarifa zaidi kuhusu oda yako ili tuweze kukufikishia bidhaa zako kiurahisi.

3

 

Sasa chagua njia ambayo ungependa kulipia i.e PesaPal, Benki au kwa njia ya simu utakapopokea bidhaa zako.

4

 

Na mwisho bonyeza WEKA ODA

 

5

 

Utapata uthibitisho wa oda yako uliyoweka na namba maalumu (itunze tafadhari). Utapokea ujumbe kwenye barua pepe au ujumbe mfupi kwenye simuyako.

Pia…

Baada ya kulipia utatumiwa barua pepe na taarifa zako binafsi za kukuruhusu kununua na kulipia kiurahisi katika manunuzi yako ya baadae.

Kama utapata tatizo lolote kipindi unaponunua bidhaa kupitia Bei Chee, tafadhari wasiliana nasi kwa namba zetu 0762 493 434 or WhatsApp kwa namba hiyohiyo.

 

All search results