The premier destination for premium products

Kuhusu Sisi

Mambo

Sisi ni Bei Chee na tumetengeneza biashara yetu kwa kanuni rahisi za ukweli na kuaminika.

Sisi ni tovuti ya biashara mtandaoni (e-commerce) yenye lengo la kuwa na bidhaa nyingi zaidi za kielektroniki pamoja na huduma bora zaidi kwa wateja nchini Tanzania. Tunafanikiwa katika haya kwa kufanya kazi na watu bora zaidi na matumizi ya teknolojia ya kisasa.

Kwetu sisi mteja ndio kila kitu. Tunataka kuwafahamu wateja wetu. Tunataka kuwa sehemu ya maisha yao. Tunataka kila mara tunapokutana nao tuwaache na tabasamu, iwe ni barua pepe ya kuthibitisha, taarifa ya ziada kwenye oda au kurudisha bidhaa iliyo na mapungufu.

Ni kweli, sisi ni binadamu na tunafanya makossa, lakini tutakapofanya makossa, tutayakabili kwa ukweli, uwazi na kwa haraka, tutafanya lolote liwezekanalo kufanya mambo yawe sawa.

Zaidi ya yote, tunasema kama ilivyo.

Sisi ni Bei Chee

Karibu.

All search results