The premier destination for premium products

Matumizi ya Ofisi

Bei Chee tunafanya kazi na aina zote za biashara ndogo na kubwa,  Kwa hiyo kama utahitaji kuongea na washauri wetu wa biashara jinsi teknolojia inavyoweza kusaidia biashara yako kukua au kujadiliana nasi kuhusu manunuzi ya jumla kwa ajiri ya shule yako, sisi tupo mda wote masaa 24 kwa msaada. nazofanya nazo kazi.

Fatilia zaidi hapa kuhusu aina za biashara tunazofanya nazo kazi.

Business. Hata kama wewe unafanya biashara yako  binafsi una unaendesha biashara kubwa, kuwekeza kwenye technolojia sahihi ni kitu muhimu sana katika mafanikio ya biashara yako.

Ingawa, Kuna njia nyingi mmbadala, ni vigumu sana kununua kitu sahihi popote – Unachaguaje kitu ambacho kitakuwa kizuri katika kukuza biashara yako?

Ukiwa na  Bei Chee mambo yote ya biashara yanayohusiana na technolojia tuachie sisi:

 • Tupigie simu tafadhali au tutumie meseji WhatsApp kwa namba hii 0762 493 434 kwa washauri wetu wa biashara ambao wanatakula msaada na ushauri kuhusu technolojia ambayo itakusaidia kuunganisha wateja na kukuza biashara yako.
 • Kupitia bei yetu murua na nafuu zaidi, tunakuhakikishia utakuwa umepata bei nzuri zaidi kuliko kwingine.
 • Kupitia ofisi yetu kuu ndani ya jiji la Dar es salaam na mfumo wetu madhubuti wa usambazaji bidhaa, tunakuhakikishia kuwa tuko karibu nawe.
 • Mkoani mzigo itafika ndani ya siku 3

Education. Ulimwengu wa ubao wa chaki umeisha, na shule binafsi zinaongezeka kila kukicha ambazo zinahitaji matumizi ya technolojia ili kusaidia wanafunzi wao namna bora ya kuweza kupata uzoefu wa elimu ya juu.

Ingawa, Kuna njia nyingi mmbadala, ni vigumu sana kununua kitu sahihi popote – Unapataje njia sahihi ya kununua unachohitaji kwa ajiri ya walimu na wanafunzi?.

Ukiwa na  Bei Chee mambo yote ya biashara yanayohusiana na technolojia tuachie sisi:

 • Tupigie simu tafadhali au tutumie meseji WhatsApp kwa namba hii 0762 493 434 kwa washauri wetu wa biashara ambao wanatakula msaada na ushauri kuhusu technolojia ambayo itakusaidia kuunganisha wateja na kukuza biashara yako.
 • Kupitia bei yetu murua na nafuu zaidi, tunakuhakikishia utakuwa umepata bei nzuri zaidi kuliko kwingine.
 • Kupitia ofisi yetu kuu ndani ya jiji la Dar es salaam na mfumo wetu madhubuti wa usambazaji bidhaa, tunakuhakikishia kuwa tuko karibu nawe.
 • Mkoani mzigo itafika ndani ya siku 3

Hospitality. Linapokuja swala la wateja kuridhika na huduma, Watanzania ni wakarimu sana. Lakini linapokuja swala la technolojia, mambo yanakuwa ya tofauti kabisa.

Hata kama utahitaji kuonesha mipira ya live katika baa yako au hoteli yako, manunuzi ya technolojia ya hoteli yako au unapotaka kununua mahitaji ya technolojia ya kuendesha au kuboresha Gymu yako, inaweza kuwa ngumu sana kupata mahitaji yako ili kuboresha biashara yako.

Ukiwa na  Bei Chee mambo yote ya biashara yanayohusiana na technolojia tuachie sisi:

 • Tupigie simu tafadhali au tutumie meseji WhatsApp kwa namba hii 0762 493 434 kwa washauri wetu wa biashara ambao wanatakula msaada na ushauri kuhusu technolojia ambayo itakusaidia kuunganisha wateja na kukuza biashara yako.
 • Kupitia bei yetu murua na nafuu zaidi, tunakuhakikishia utakuwa umepata bei nzuri zaidi kuliko kwingine.
 • Kupitia ofisi yetu kuu ndani ya jiji la Dar es salaam na mfumo wetu madhubuti wa usambazaji bidhaa, tunakuhakikishia kuwa tuko karibu nawe.
 • Mkoani mzigo itafika ndani ya siku 3

Wasiliana nasi leo

Kwa taarifa zaidi

    (+255) 0762 493 434

All search results